Ni wasichana jasiri na wajasiliamali wanaojua kuisaka pesa na wasio penda kuwa tegemezi.Hapa nawazungumzia Wema Sepetu na Jokate Mwegelo
Kumekuwa na ushindani wa chini chini kati yao kuhusu sura zao kiasi cha kuzua mjadala wa nani ni mzuri zaidi ya mwenzake....
Wema Sepetu
Mmoja akivaa nguo hii leo, mwingine naye ni lazima aitafute nguo kama hiyo hiyo kesho aivae na kuitupia mtandaoni ili mashabiki walinganishe na kutoa hukumu.Jokate Mwegelo
Hizo ni picha zao 2 wakiwa ndani ya vazi la pundamilia. Na hapo wako mbele yako wakiomba UWAHUKUMU ili kuukata mzizi wa fitina..
Hukumu yako inaombwa izingatie kigezo cha SURA tu na siyo Tabia zao....Je, nani ni mkali zaidi ya mwenzake?
DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW
SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>
DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS