Sunday, October 27, 2013

SIRI IMEFICHUKA..!! HIKI NDICHO KILICHOMFANYA YULE MBUNGE WA MIAKA 60 KUOLEWA NA SERENGETI BOY WA MIAKA 26..!!


MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rosweeter Kasikila (60), amejikuta kwenye kashfa nzito ya kufunga ndoa na kijana, kinda wa miaka 26, Michael Christian.
Wiki hii yote kumekuwa na kwenye vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii kumefunikwa na tukio la kustaajabisha linalomuhusu mbunge wa CCM Rosweeter Kasikila mwenye umri wa zaidi ya miaka sitini kufunga ndoa na kijana mdogo Michael Chstiani (26) Mtandao huu umepata taarifa mpya juu ya tukio hilo ambalo kwa sasa liko kwenye mgogoro mzito.
Habari toka kwenye chanzo chetu cha habari zilisema kuwa sababu kubwa ya Mheshimiwa huyo kuangukia kwenye penzi l "Serengeti boy" huyo ni kutokana na ufundi wa hali ya juu wa kijana huyo hali iliyofanya Mama huyo kushindwa kujizuia na kuamua kumfanya kijana huyo kuwa mume kabisa.
 mama mmoja wa makamo ambae alisema ni rafiki wa karibu na Mbunge huyo alisema " Jamani wanangu acheni mapenzi yaitwe mapenzi ambayo hayana macho haya hata mkificha lakini baadae kila kitu kitakuwa wazi huyo kijana ana sifa ya kujua sana mambo anasifika mtaa mzima hivo Mh alizidiwa na uzalendo akaamua kufunga ndoa nae ili kufaidi ndoa vizuri" Alisema mama huyo.
Aidha ishu hii licha kutizamwa kwa jicho la tatu na baadhi ya watu huku ikiwa na mlengwa wa kisiasa pia watu mbalimbali walitoa komenti zao na kueleza kuwa Mh huyo hakuwa na kosa kufanya maamuzi ya kuolewa na kijana huyo ambae kwa mujibu wa sheria ya nchi yetu huyo kijana ni mtu mzima kwa maana ya kuvuka miaka 18

DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW

SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>

DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS

0 comments em “SIRI IMEFICHUKA..!! HIKI NDICHO KILICHOMFANYA YULE MBUNGE WA MIAKA 60 KUOLEWA NA SERENGETI BOY WA MIAKA 26..!! ”

Post a Comment

 

Mambomseto Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter