kutokana na mdau wetu alieshuhudua tukio hilo,alisema dada huyo aliyekuwa akijihudhurisha kanisani hapo mara kwa mara kwa mchungaji huyo na ilifikia kipindi ambacho hadi mume wake aliweza kumlalamikia mke wake huyo kwa kuhudhuria katika kanisa hilo kupita kiasi na yeye alisema ninaenda mara kwa mara kumuomba Mungu kwa ajiri ya kupata mtoto kwani familia hiyo wanatatizo na mtoto na alimwambia mumewe mchungaji huyo anamsaidia ili wapate mtoto.
Mumewe alianza kumuhisi vibaya mkewe kwani alianza na kuja usiku wa manane akielezakuwa anatoka kwa mchungaji huyo na kuanza kumfuatilia hadi pale alipoelekeza mkewe na mchungaji huyo kwenye kisima cha upako nakukuta kilichomshangaza mwanaume huyo kama unavyoona hapo chini
"nimeona uponyaji alioutoa mchungaji huyo kwani ni wa ajabu sana "alisema mwanaume huyo
je? kama utamkuta mkeo katika pozi hilo hapo juu hatua ya kwanza kuchukua itakuwa ni nini?
DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW
SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>
DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS