Ama kweli mapenzi yana raha na karaha yake. Ila hii ya huyu dada ni kali kwa kweli.
Kama ilivyo kawaida ya wadada walioshibana wawapo zaidi ya wawili, hawakosi kuongelea mambo yao ya ndani ya malovee. malalamiko ya shosti huyu ni juu ya mpenzi wake wa kiume ambaye amedumu naye kwa miezi sita hadi nautundika huu uzi.
Kimsingi dada wa watu analalamika kuwa bf wake ambaye hajaenda suna (hajatahiriwa) anapenda sana kunyonywa 'mkono wake wa sweta' na kwa kuwa binti wa watu amempenda amekuwa akimtimizia hiyo haja yake. Ila tatizo kwa dada wa watu ni kwamba pindi anapokuwa ametulia baada ya kupeana raha ya mapenzi, na hasa anapo-recall ile exercise nzima ya 'kulamba koni' isiyofanyiwa tohara hijisikia kichefu chefu nakuishia kutapika.
Kuna siku dada yake alimtilia shaka na kwenda kumpima akidhani huenda ana mimba baada ya kutapika mara 3 siku alotoka kufanya mapenzi na huyo bf wake mwenye 'mkono wa sweta'. Baada ya kumweleza dadake sababu ya kutapika, dada mtu alimshangaa iweje anakubali kulamba koni ya mkono wa sweta! Binti wa watu hajui itakuwaje maana mwanaume anampenda ila hiyo karaha ya kunyonya na kutapika tapika ndiyo inayomkosesha raha kabisa ya mapenzi na bf wake.
Kidume kimekataa katakata kufanyiwa tohara kwa madai kwao ni mwiko na kwamba anajisikia raha sana ku-sex na sweta hivyo hawezi kuliondoa. Sitaki kuulizwa huyo mwanaume anatoka mkoa gani na kabila gani!
MPE USHAURI HUYU DADA KWA KUANDIKA COMMENT HAPO CHINI, ILI UNUSURU PENZI LAKE LISIJE LIKAVUNJIKA....!!
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW
SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>
DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS