Thursday, November 7, 2013

UKATILI WA KUTISHA: MTOTO WA KIKE AFANYIWA TOHARA BILA GANZI !!!


Na Sakina Shabani kwa msaada wa mtandao.

Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na nusu nchini Kenya ambae hakufahamika jina lake ametia huruma baada ya wazazi wake kumfanyia tohara bila ganzi na kumsababishia uchungu mkubwa.

Tukio hilo linalodaiwa kutokea hivi karibuni lilisema kuwa familia hiyo ambayo ni ya kabila la Mungiki  ambao wanautamaduni wa kuwafanyia tohara watoto wa kike walimfanyia mtoto wao huyo huku akilia kwa uchungu kwa kusema " 
Mungu wangu mungu wangu nisaidie nakufa" Lakini licha ya mtoto huyo kutamka maneno hayo ghariba hakutaka kumsikia na aliendelea na kazi yake. 

<<<<BOFYA HAPA KUONA PICHA YENYEWE JAMANI NI HURUMA18+>>>> 

DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW

SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>

DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS

0 comments em “UKATILI WA KUTISHA: MTOTO WA KIKE AFANYIWA TOHARA BILA GANZI !!!”

Post a Comment

 

Mambomseto Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter