Wednesday, November 6, 2013

PICHA: AZIKWA AKIWA HAI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MWANAE WA KUMZAA KISHIRIKINA MBEYA....

HILI NI KABURI LA MZEE ALIYEZIKWA AKIWA HAI KABURI HILI LITAFUKULIWA KESHO NA POLISI
MOJA YA NDUGU WA MZEE ALIYEZIKWA AKIWA HAI AKIELEZEA KWA KIFUPI JINSI NDUGU YAKE ALIVYOZIKWA AKIWA HAI HABARI KAMILI TUTAWALETEA KESHO MARA BAADA YA KUFUKULIWA MWILI HUO
HILI NI KABURI LA MTOTO WA MZEE ALIYEZIKWA HAI AMBAYE INASEMEKANA BABA YAKE ALIMUUA KIUCHAWI

DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW

SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>

DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS

0 comments em “PICHA: AZIKWA AKIWA HAI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MWANAE WA KUMZAA KISHIRIKINA MBEYA....”

Post a Comment

 

Mambomseto Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter