Wednesday, November 6, 2013

UKATILI! MFANYAKAZI WA TBC APIGWA RISASI MAENEO YA UBUNGO NA KUFARIKI HAPO HAPO JANA JIONI....


Ni simanzi kubwa tena na mfululizo wa matukio ya ujambazi nchini. Jana jioni Ramadhani Gize mfanyakazi wa TBC alipigwa risasi na watu wanaosadikika ni majambazi akiwa kazini na kukutwa na mauti hapo hapo. Majambazi hao wanasadikika walikuwa wanne walipovamia katika maeneo ya Ubungo Maziwa.
Poleni wafanyakazi wa TBC kwa msiba huu na familia ya marehemu.

Chanzo Tbc News

DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW

SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>

DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS

0 comments em “UKATILI! MFANYAKAZI WA TBC APIGWA RISASI MAENEO YA UBUNGO NA KUFARIKI HAPO HAPO JANA JIONI....”

Post a Comment

 

Mambomseto Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter