Friday, November 8, 2013

HUYU NDIYE MCHAWI ALIYEDONDOSHWA NA MAOMBI YA MAKOMANDOO WA VHM ALFAJIRI .....!!!

Makomandoo wa VHM wakiwa katika Operation ya kusambaratisha kazi za shetani afajiri baada ya maombi mazito mama aliyekuwa na tumbo kubwa akidhaniwa ni mjamzito kumbe hakuwa na mimba yoyote. Baada ya maombi mazito chini ya usimamizi wa makomandoo ya Yesu kupitia Voice of Hope Ministry alijikuta akitapika meno ya mbwa, nywele na vitu visivyojulikana. Siku chache
baadaye kutokana na nguvu ya maombi yaliyokuwa yakifanywa na makomandoo ya Yesu hapo kijijini saa 8.45alfajiri mchawi aliyekuwa akiruka angani kuelekea Bagamoyo alivutwa na nguvu za Bwana na kujikuta akidondoka chini kutoka angani na hakuweza kufanya kitu chochote tena.

DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW

SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>

DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS

0 comments em “HUYU NDIYE MCHAWI ALIYEDONDOSHWA NA MAOMBI YA MAKOMANDOO WA VHM ALFAJIRI .....!!! ”

Post a Comment

 

Mambomseto Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter