Msanii wa bongo fleva, Nasib Abdul 'Diamond' amenaswa live akichezea matiti ya wanafunzi wa shule mbalimbalimm za jijini Dar...
Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo lilijiri wiki iliyopita kwenye maduka ya Mlimani City jijini Dar wakati msanii huyo alipokwenda kufanya manunuzi ya vitu binafsi....
Ilielezwa kuwa,Diamond akiwa Mlimani City,wanafunzi walimvaa na kuanza kuzunguka naye kila sehemu aliyoingia...
Taarifa zinaarifu kuwa, wakati wapambe wake walipojaribu kuwazuia wanafunzi hao, Diamond aliwaambia wawaache maana ni mashabiki wake...
Baadae wanafunzi hao waliokuwa wanatamani japo kushika upindo wa mavazi yake walimwomba japo awasainie kwenye sare zao za shule na hapo ndipo upekuzi huu ulipokamilika...
Badala ya kuwasainia sehemu nyingine ya sare zao,Diamond alikuwa akiwashika vifuani na kusaini sehemu hiyo huku akiwagusagusa matiti yao...
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI..
DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW
SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>
DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS