Thursday, November 7, 2013

JIBU LA WAZIRI MKUU BAADA YA KUULIZWA BUNGENI KAMA TANZANIA ITAJITOA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI...SOMA ZAIDI



Serikali imesema licha ya kutokea  mvutano kati yake na nchi za Rwanda, Kenya na Uganda, hadi sasa haijafikia dhamira ya kujitoa kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki na kwamba mgogoro uliopo utamalizwa kidiplomasia kwa lengo la kudumisha uhusiano uliopo.

Leo bungeni  Dodoma, Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema lengo la Tanzania ambayo ni walengwa wakubwa ni kuona muungano huo unakuwa wenye tija kwa wananchi wa nchi wanachama na si kwa upande mmoja  tu

DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW

SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>

DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS

0 comments em “JIBU LA WAZIRI MKUU BAADA YA KUULIZWA BUNGENI KAMA TANZANIA ITAJITOA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI...SOMA ZAIDI”

Post a Comment

 

Mambomseto Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter