Thursday, November 7, 2013

JINSI WAKE ZA WATU VYUONI WANAVYOMEGWA KISELA NA WANAFUNZI..... !!!!

Wadau habari za siku!! Nimeona nitoe kisa hiki nilichopata kusimuliwa na kukishuhudia miaka ya 2000's UDSM. 

Kulikuwa na bi mdada kutokea maeneo ya kanda ya ziwa alikuwa ameolewa na kipindi hicho alikuwa na mtoto mmoja. Hakuwa mtu mzima sana kiumri bali alikuwa wa makamo hivi kama miaka ya early 20's. Bi dada alikulia maisha ya boarding kuanzia form 1 to VI. Pia alikuwa akimwambia jamaa kwamba hakuwa na mahusiano na wanaume mbaka alipomaliza kidato cha sita na kukutana na mwanaume wake wa kwanza huko huko wilayani kwao bukoba. Alipofika chuoni hakuonyesha dalili za kuwa uhitaji wa mwanaume lakini siku zilivyozidi kwenda akaanza kuzoeana na mkaka huyo rafiki yangu. Aliingia kwenye janga la kuwa na nyumba ndogo ya kiume aka kidumu kutokana na mazoea ya karibu na utani uliovuka mipaka na huyo jamaa yangu!! 

Ni katika makundi ya kujadili (Group Discussion) za usiku kwenye common rooms kwenye hostel fulani zilizopo hapa hapa dsm ndipo mchezo huo ulipoanza kati ya watu hawa wawili. Jamaa alisema kwamba, walianza kama utani kutekenyana miguuni wakiita jina la kubip. Mdada akawa anajirusha sana kila akiguswa kumaanisha anazo za kutosha mwilini mwake. Basi jamaa hakumtongoza wala kumshawishi kwa maneno yeyote bali ni vile vitendo vyao wakiwa discussion pamoja na ujumbe katika simu za mikononi siemens kama mnazikumbuka. Mchezo uliendelea mbka siku moja bi dada akaja chumbani kwa jamaa mchana pakiwa hakuna watu kabisa akizuga anakuja kuchukua dessa fulani. Alipofika chumbani hapo bi mdada akamkumbatia kwa nyuma mjamaa na kumbusu. Kumbuka hawajaongea mambo fulani ni vitendo tu mwanzo mwisho. Mjamaa akampuuzia kiukweli hata yeye alikuwa kakolea maana mdada alijaaliwa lakini jamaa akawa hajiamini kama kweli bi dada amefall kiukweli. Lile zoezi likapita bila majibu yeyote. 

Siku ya pili bi mdada tena akaenda na kumfanyia vitendo vile vile vya jana. Jamaa kuona hivyo akapandisha mzuka na kumgeukia bi dada mrs. fulani na kupeleka mdomo kwenye lips zake. Lile zoezi lilipokelewa kwa shangwe na Mrs. Fulani na kuanza kudendeka pale kisha kama vile kashtuka usingizini akamsukuma jamaa na kutaka kuondoka. Mshikaji akamuwakia na kumlaumu iweje anamshawishi alafu anamtolea nje! Mrs Fulani akamwambia vizuri havitaki pupa wala haraka tulia kwanza..kweli bhana kuanzia siku ile jamaa akawa kapata mke kuanzia mwaka wa 1 mbaka wa 4 anakula tu mke wa mtu. Tatizo likawa mwanamke anawivu kwa mjamaa mbaka basi na pia alikuwa anataka kila wanapokuwa falagha. Na kwa kweli mjamaa alikuwa anampatia haki ya mume wake kisawa sawa. Na kutokana na uzoefu wa kimjini mjini mshikaji alikuwa anampatia dozi popote pale katika chumba iwe kwenye viti, meza za kusomea hata kwenye deka. Kumbe bi dada hajawahi kufanyiwa mafujo kama yale katika maisha yake ya mavituzi ndio maana akawa anamuona jamaa anajua kuliko mumewe..na alikuwa akimwambia kuwa jamaa yangu ni mtaalamu kuliko maelezo. Mbaka sasa huyo bi dada anao watoto wa 3 lakini anamsumbua mjamaa sana japo wapo mikoa na kanda tofauti. Sijui ni utamu au!! Mhhh!!

Kwa ushuhuda huu mjue wenye wake zenu vyuoni kaeni chonjo hasa kwa vijana hawa wa dijitali!! Na huyo ni mmoja tu niliyepata kuhadithiwa na kuona baadhi ya mambo yalivyokuwa yakiendelea hapo chuoni lakini najua wako wengi sana wa aina hiyo. Kwa sasa vyuo vimekuwa vingi sijui mangapi yanafanyiaka kwa wake za watu. Hebu fungukeni mtupe mauzoefu yenu wana jamvi.
-JF

DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW

SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>

DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS

0 comments em “JINSI WAKE ZA WATU VYUONI WANAVYOMEGWA KISELA NA WANAFUNZI..... !!!!”

Post a Comment

 

Mambomseto Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter