MWILI WA MAREHEMU MWAIKASU AMBAYE ALIZIKWA AKIWA HAI UKIENDELEA KUIBULIWA KABURINI |
SHUGHULI ZA UFUKUAJI ZAANZA CHINI YA USIMAMIZI WA JESHI LA POLISI |
JUHUDI ZA KUENDELEA KUUFUKUA MWILI WA ALIEZIKWA HAI ZAENDELEA |
NI KAZI NI NZITO NA INAHITAJI UVUMILIVU |
MWILI WA ALIEZIKWA HAI WAANZA KUONEKANA |
MSAMARIA MWEMA ALIYEJITOLEA KUUTOA MWILI BAADA YA KUUKUTA |
MWILI WA MAREHEMU MWAIKASU AMBAYE ALIZIKWA AKIWA HAI UKIENDELEA KUIBULIWA KABURINI |
KATIKATI MJANE WA ALIYEZIKWA HAI |
MWILI UKIWA TAYARI KWA KUZIKWA UPYA |
NDUGU WAKIWA NA SIMANZI |
MOJA YA WANAUSALAMA AKIWASHUKURU NDUGU KWA UVUMILIVU WALIYOUONYESHA KATIKA MSIBA HUU MZITO |
ULITOKA KWA UDONGO UTARUDI KWA UDONGO NDIYO NDUGU WA MAREHEMU WALIVYOKUWA WAKISEMA |
SHUGHULI YA KUZIKA UPYA IKIENDELEA |
SHUGHULI YA MAZISHI IMEKAMILIKA KWA AMANI NA UTULIVU LAKINI HAKUNA WANAKIJIJI WALIYOJITOKEZA KATIKA MSIBA HUU HOFU KUKAMATWA NA DOLA |
DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW
SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>
DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS