Friday, October 25, 2013

"Sipo tayari kumvulia nguo bwana Misosi, labda anivizie na kunibaka.."Amanda

                                           
Staa  wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi  ‘Amanda’ amefunguka kuwa hawezi kurudia  makosa tena kwa kumvulia  nguo  aliyekuwa mpenzi wake, Joseph Rashau ‘Bwana Misosi’.


Akiongea  na  mwandishi wetu muda mchache baada ya wadau kibao kumtaka mwanadada huyo arudiane na mpenzi wake huyo kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook, Amanda alisema tayari ameshapenda kwingine hivyo hapendi kumzungumzia mtu aliyeachana naye pia hana tabia ya kurudia matapishi yake.

"Sipo  tayari  kumvulia  nguo  bwana Misosi, labda  anibake,  kwani  nikishaachana  na  mtu  huwa  namtoa  moyoni  kabisa  na  ndio  maana  sipendi  hata  kusikia  lolote  juu  yake"..Alisema  Amanda
 

DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW

SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>

DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS

0 comments em “"Sipo tayari kumvulia nguo bwana Misosi, labda anivizie na kunibaka.."Amanda”

Post a Comment

 

Mambomseto Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter