Monday, October 28, 2013

" WEMA SEPETU ALIPONEA CHUPUCHUPU TU., NINGEMNG'OA MENO YOTE".. HAYO NI MANENO YA RADO..

 
Wema Sepetu ‘Madam’
 
STAA wa sinema za Kibongo, Simon Mwakipagata ‘Rado’ amefunguka kuwa Wema Sepetu ‘Madam’ aliponea chupuchupu kwani ilibaki kidogo amng’oe meno.  
 
Akizungumza na Stori, hivi karibu baada ya kukumbushiwa tukio hilo lililotokea hivi karibuni katika ofisi za Wema zilizopo Mwananyamala jijini Dar kupitia kipindi cha mlimbwende huyo cha In My Shoes,
 
 Rado alifafanua:-

Nilimlipa Wema afanye filamu yangu na kabla haijaisha yeye akaenda kutoa nywele na kila kitu bila kuniambia jambo ambalo halitakiwi kwenye filamu ndiyo maana nilifanya vile na siku ile ningemtoa meno, alisema Rado

DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW

SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>

DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS

0 comments em “" WEMA SEPETU ALIPONEA CHUPUCHUPU TU., NINGEMNG'OA MENO YOTE".. HAYO NI MANENO YA RADO.. ”

Post a Comment

 

Mambomseto Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter