Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Asangye Bangu (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Phillipo Mulugo baada ya kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii, kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dar es Salaam jana. Picha na Salim Shao
DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW
SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>
DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS