Vincent Kigosi ‘Ray’.
Akitema mbili tatu mbele ya kinasa sauti cha Stori, Ray aliyetamba kwenye sinema ya Ramadhani, alisema kwenye maisha yake anapenda zaidi kuwa bachela tofauti na wasanii wenzake ambao ndoa wanaona ni kitu cha haraka na kukipa kipaumbele.“Napenda maisha haya, sina mpango wa kuoa kwa sasa, niko kivyanguvyangu na suala la kuoa kwangu bado ni kitendawili ambacho bado sijakipatia majibu,” alisema Ray au The Greatest.
DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW
SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>
DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS