BAADA mwigizaji Chuchu Hans kukwaa skendo ya kupigania penzi la Vincent Kigosi ‘Ray’ na mwenzake Blandina Chagula ‘Johari’, amedaiwa kutimkia nchini India wikiendi iliyopita kwa lengo la kupunguza stress.
Chanzo kimoja cha habari kikingea na GPL kimedai kuwa tangu skendo hiyo iliporipotiwa, Chuchu amekosa amani na amekuwa mtu wa kujificha sana.
“Amekwenda kwa shangazi yake India, amesafiri wikiendi hii kwa ndege ya Emirates, tena ili kukwepa macho ya watu ameondokea Zanzibar. Ile skendo imemchanganya sana,” kilisema chanzo hicho.
DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW
SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>
DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS