Kanye West alianza show yake vizuri kabisa ila ilipofika wakati wa kuimba wimbo wake kutika kwenye album ya College Dropout inayoitwa Jesus Walks alitokea mtu aliye vaa kama Yesu na Kanye West ambaye alikuwa na msaidizi wake wa kike kwenye kuimba wali inama na mbele ya Mtu Huyu na ndio wimbo ukaanza wa Jesus Walks
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI
DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW
SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>
DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS