Rihanna ameamua kutumia Ziara yake ya kimuziki Vizuri sana kwa kutembelea vivutio katika nchi anazotemebela katika ziara yake hiyo ambaypo ni ya kikazi lakini akiwa ameongozana na Familia yake akiwemo Mama yake Mzazi,
Akiwa Nchini Afrika ya Kusini alitumia wakati huo kwa kutembelea mbuga za wanyama na viumbe wa majini, kwa mara hii akiwa katika muendelezo wa Ziara yake hiyo katika nchi za UAE huko Abu Dhabi ameonekana akiwa katika msikiti mkubwa ikiwa ni ishara ya kutembelea na kujionea imani ya dini ya kiislam na tamaduni za huko huku akionekana katika mapozz tofauti tofauto ndani ya msikiti huo akiwa amevalia mavazi meusi na hijabuUnaweza kusema Rihanna kawa muislam, Rihanna Ameshare picha zake kupitia mtandao wa Instagram akiwa ndani ya msikiti
RIHANNA DIAMONDS WORLD TOUR- Abu Dhabi Concert
DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW
SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>
DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS