MTOTO mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amesema japokuwa ni mjamzito lakini bado ana kasi zaidi katika kufanya kazi zake za filamu.
Akipiga stori na paparazi wetu, Odama alisema watu wengi wanaamini unapokuwa mjamzito unaacha shughuli zako lakini kwake mambo ni tofauti, kazi kama kawaida.
“Mimi mzigo hapa naendelea kama kawaida wala mimba siyo kigezo cha kusubirisha mambo yangu, kwanza naona ndiyo imenipa nguvu ya kufanya kazi zangu, nimekamilisha tayari kazi mpya, naiachia March 28 inaitwa Jicho Langu,” alisema Odama.
Read more: http://mnyetishaji.blogspot.com/2014/03/mzigo-hapa-unaendelea-kama-kawaidamimba_24.html#ixzz2wvacZCML
DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW
SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>
DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS