Tuesday, March 25, 2014

uthibitisho katika picha:BAADA YA PICHA ZA SNURA KUZAGAA MTANDAONI AKIWA KWA MGANGA, HII NDIYO KAULI YAKE KUHUSU PICHA HIZO

 Jaman jaman picha zangu zote zilitoka hata sijui nani aliziediti nakubakisha ambazo hazinna camera lakini ukweli ni kwamba ile ilikuwa na movie nilikuwa nafanya na ni movie ya DOTNATA inaitwa MLOKOLE. 
Nashangaa napigiwa simu naulizwa snura umeonekana kwa mganga unaronga kwakweli nilishangaa sana, kuja kuangalia picha naona picha za movie ya Mlokole Nikabaki kucheka tu nikajua ndio mambo ya uhuru wa vyombo vya habari hivyo.
Snura atabaki kuwa snura hawawezi kumshusha hata kwa dawa najua kuna kundi la watu wanatamani sana kunishusha lakini hawawezi kunishusha kwa style hiyo kabisa.... ukiangalia izzo picha kuna uchawi hapo au filamu tu....
 Snura akiwa kazini upande wa filamu akifanya filamu inayoitwa MLOKOLE


Subiria movie ya mlokole is coming soon....


DEAR READER LEAVE A COMMENT BELOW

SHARE THIS POSTS TO YOUR FRIENDS BELOW==>>

DONT HESITATE TO JOIN OUR FACEBOOK PAGE BELOW FOR MORE BREAKING AND HOT RESEARCHED NEWS

0 comments em “uthibitisho katika picha:BAADA YA PICHA ZA SNURA KUZAGAA MTANDAONI AKIWA KWA MGANGA, HII NDIYO KAULI YAKE KUHUSU PICHA HIZO ”

Post a Comment

 

Mambomseto Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter